Quran in Swahili Al-Humazah 104 – AL – HUMAZAHKWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 1. Ole wake kila safihi, msengenyaji!2. Aliye kusanyamalina kuyahisabu.3. Anadhani ya kuwamaliyake yatambakisha milele!4. Hasha!Atavurumishwa katika H’ut’ama.5. Na nani atakujuvyaninini H’ut’ama?6. MotowaMwenyezi Mungu ulio washwa.7. Ambao unapanda nyoyoni.8. Hakika huo utafungiwa nao9. Kwenye nguzo zilio nyooshwa.