Quran in Swahili Al-ʽAsr 103 – AL – A’S’RKWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 1. NaapakwaZama! 2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,3.Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwahaki, na wakausiana kusubiri.