Quran translations in many languages

Quran in Swahili

Al-Falaq

113 – AL – FALAQ

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 

 

  1. 1. Sema: NajikingakwaMola Mlezi wa mapambazuko, 
  2. 2. Nashariya alivyo viumba, 
  3. 3. Nashari ya gizala usiku liingiapo, 
  4. 4. Nashariya wanao pulizia mafundoni, 
  5. 5. Nashariya hasidi anapo husudu.