Quran translations in many languages

Quran in Swahili

Al-Ikhlâs

112 – AL – IKHLAS’

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 

 

  1. 1. Sema: Yeye Mwenyezi Munguniwa pekee. 
  2. 2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
  3. 3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.
  4. 4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.