Quran translations in many languages

Quran in Swahili

Al-Kâfirûn

109 – AL – KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 

 

  1. 1. Sema: Enyi makafiri!
  2. 2. Siabudu mnacho kiabudu;
  3. 3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
  4. 4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
  5. 5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
  6. 6. Nyinyi mna dini yenu, namininaDini yangu.