Quran translations in many languages

Quran in Swahili

Al-Kawthar

108 – AL – KAWTHAR

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 

 

  1. 1. Hakika tumekupa kheri nyingi.
  2. 2. Basi salinauchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. 
  3. 3. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu