110 – ANNAS’R
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
- 1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
- 2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungukwamakundi,
- 3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi,naumwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.